Ripoti mpya imeonesha kuwa nchi za Caribbean ni miongoni mwa sehemu zinazoongoza kwa kuwa na uhalifu mkubwa duniani.
Benki
moja inayohudumia nchi za Amerika ya Kusini, imefanya utafiti na kuhoji
wahanga kutoka nchi tano za Bahamas, Trinidad and Tobago, Barbados,
Jamaica na Surinam.
Katika matokeo yake, imegundua kuwa karibia robo tatu ya ndugu wa waliokufa wanasema kuwa waliwapoteza jamaa zao kwa kuuawa kikatili.
Taarifa hiyo inasema kuwa bastola hutumika zaidi katika mauji hayo ikiwa ni zaidi ya kiwango cha dunia.
CHANZO: BBC

SHARE
No comments:
Post a Comment