Rais mpya wa Korea Kusini, Moon Jae-In, ameanza kazi rasmi afisini kwake baada ya kuapishwa.
Rais mpya wa Korea Kusini, Moon Jae-in ameapishwa rasmi
Amesema kuwa angependelea kutembelea Pyongyang katika hali nzuri.
Wakili huyo wa haki za kibinaadamu anayejulikana kwa maoni yake huria anataka kuimarisha uhusiano na Korea Kaskazini kinyume na sera iliopo kwa sasa.
Pia ameapa kuliunganisha taifa hilo linalokabiliwa na ufisadi ambao ulisababisha mtangulizi wake kushtakiwa mbali na kuimarisjha uchumi.
- Korea Kusini yalalamika kuhusu China kwa WTO
- Moon ashinda urais Korea Kusini
- Aliyekuwa rais Korea Kusini 'kukamatwa'
Mwanachama huyo wa chgama cha Democrat amejionyesha kuwa mtu ambaye anaweza kuliendesha mbele taifa hilo kutoka kwa ufisadi mbali na kuliunganisha.
- Nyambizi ya Marekani yawasili Korea
- Rais wa zamani wa Korea Kusini ashtakiwa
- Marekani yaweka mtambo wa kulinda Korea Kusini
Marekani na Korea Ksakazini zimekabiliana kimaneno katika majuma ya hivi karibuni baada ya Pyongyang kufanya majaribio ya makombora
CHANZO: BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment