Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akisisitiza jambo
mbele ya ujumbe wa Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa nchini Tanzania
ukiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza hilo, Mhe. John Shibuda (Kushoto) na kulia
ni Msajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mtungi katika kikao
kilichofanyika jana Ofisini kwake katika Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Mei 8, 2017.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akimsikiliza
Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa nchini Tanzania, Mhe. John Shibuda
(Kushoto), pale ujumbe wa Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa
ulipomtembelea jana Ofisini kwake katika Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akisalimiana na Msajili
wa Vyama vya siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mtungi (kulia) aliemtembelea Ofisini kwake katika Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akimsikiliza Msajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mtungi (kulia) alipomtembelea Ofisini kwake katika Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma. |
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akionyesha Cheti cha homa
ya Manjano alichokabidhiwa katika Ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza
Msajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania Jaji Francis Mtungi (wa pili
kulia)akizungumza jambo pale ujumbe wa Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa
ukiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa nchini Tanzania, Mhe.John
Shibuda ulipomtembela leo Ofisini kwake katika Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akisaini Cheti cha homa ya
Manjano alichokabidhiwa katika Ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
SHARE
No comments:
Post a Comment