Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO. Tanzania imeshika nafasi ya tatu barani
Afrika ikiongozwa na nchi ya Afrika Kusini na Nigeria kwa kuwa na
Sheria bora ya Usimamizi na Udhibiti wa Kemikali. Kauli hiyo imetolewa
leo Jijini Dar es Salaam na Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Prof.
Samweli Manyele alipokua akizungumza na waandishi wa habari juu ya
mkutano wa Kimataifa wa Udhibiti wa Kemikali na Kemikali Taka
uliofanyika Geneva, Uswisi kuanzia Aprili 24 hadi Mei 5 mwaka huu.
Prof....
SHARE
No comments:
Post a Comment