TRA

TRA

Tuesday, May 16, 2017

UMASKINI WATAJWA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI BINADAMU

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


unnamed
Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Kupambana na Kuzuia Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binaadamu,ambae pia ni Mgeni Rasmi,Adatus Magere akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya kuzuia biashara hiyo.Kulia ni Mratibu wa Mradi wa Shirikal a Wahamiaji la Kimataifa, Tamara Keating.Mafunzo hayo yanashirikisha wadau mbalimbali kutoka katika nchi zilizopo katika Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC).Mafunzo hayo yanafanyika jijini Dar es Salaam.
A
Afisa Mkuu wa Kitengo cha Jinsia kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Joseph Pitso,akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binaadamu. Wengine ni Mwenyekiti wa Sekretarieti ya kupambana na biashara hiyo,ambaye pia ni Mgeni Rasmi, Adatus Magere na Mratibu wa Mradi wa Shirika la Wahamiaji la Kimataifa nchini, Tamara Keating.Mafunzo hayo yanashirikisha wadau mbalimbali kutoka katika nchi zilizopo katika Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika(SADC).Mafunzo hayo yanafanyika jijini Dar es Salaam.
A 1
MratibuwaMradiwaShirika la Wahamiaji la Kimataifanchini, Tamara Keating, akizungumzawakatiwaUfunguziwaMafunzoyaKuzuianaKupambananaBiasharaHaramuyaUsafirishajiwaBinaadamu,WengineniMwenyekitiwaSekretarietiyaKupambananaKuzuiaBiasharaHaramuyaUsafirishajiwaBinaadamu,ambae pia niMgeniRasmi, AdatusMagerenaAfisaMkuuwaKitengo cha JinsiakutokaJumuiyayaMaendeleoyaKusinimwaAfrika (SADC), Dk. Joseph Pitso.Mafunzoyanashirikishawajumbekutokakatikanchi zilizomo katikaJumuiyayaMaendeleoyaKusinimwaAfrika(SADC)  hayoyanafanyikajijini Dar es Salaa

A 2
KatibuMkuuwaSekretarietiyaKupambananaKuzuiaBiasharaHaramuyaBinaadamu,Separatus Fella,akizungumzawakatiwaUfunguziwaMafunzoyaKuzuianaKupambananaBiasharaHaramuyaUsafirishajiwaBinaadamuyanayoshirikishanchi zilizomo katikaJumuiyayaMaendeleoyaKusinimwaAfrika(SADC).Mafunzohayoyanafanyikajijini Dar es Salaam.
A 3
Mtoamadakutokanchini Zimbabwe,Jacinta Hofnie, akiwasilishamadakwawashirikiwaMafunzoyaKuzuianaKupambananaBiasharaHaramuyaUsafirishajiwaBinaadamukutokakatikanchi zilizomo katikaJumuiyayaMaendeleoyaKusinimwaAfrika(SADC) yanayofanyikajijini Dar es Salaam.
A 4
MwenyekitiwaSekretarietiyaKupambananaKuzuiaBiasharaHaramuyaUsafirishajiwaBinaadamu, ambae pia niMgeniRasmi, AdatusMagere (watatukulia), akiwakatikapichayapamojanawashirikiwaMafunzoyaKuzuianaKupambananaBiasharaHaramuyaUsafirishajiwaBinadamukatikanchi zilizomo katikaJumuiyayaMaendeleoyaKusinimwaAfrika (SADC) yanayofanyikajijini Dar es Salaam.
……………………..
Na MwandishiWetu.
Hali ngumuyamaishaikiwepoukosefuwamahitajimuhimuimetajwakamasababukubwainayochocheaBiasharaHaramuyaUsafirishajiwaBinadamuhukuwaaathirikawabiasharahiyowakiahidiwamaishamazurikatikanchiwanazopelekwa.
AkizungumzawakatiwaUfunguziwaMafunzoyaKuzuianaKupambananaBiasharaHaramuyaUsafirishajiwaBinadamu, MwenyekitiwaSekretarietiyaKupambananaKuzuiaBiasharaHaramuyaUsafirishajiwaBinadamu(ATP), ambaye pia nimgenirasmikatikamafunzohayo, AdatusMagereamesemawahusikawabiasharahiyowamekuawakiwarubuniwaathirikawabiasharahiyokuwapatiamaishamazurinakujikutawakiingiakatikamadharayabiasharahiyo.
Aliongezakuwakunaumuhimukwawatungasherianavyombovyasheriakutungasheriazitakazosaidiakutokomezakabisabiasharahiyokwaniimekuaikiendeleakukuasikuhadisikuhaliinayopelekeaidadiyawahangawabiasharahiyokuendeleakuongezeka.
“Tunaombawatungasherianawasimamiajiwasheriakusaidianakwapamojakatikakudhibitinakuzuiabiasharahiyokwakutoaadhabu kali kwa wale watakaobainikakuhusikamojakwamojanabiasharahiyoilitatizohililiwezekuishakatikanchizetu,” alisemaMagere.
AidhaKatibuMkuuwaSekritarietiyaKupambananaKuzuiaBiasharaHaramuyaUsafirishajiBinadamuambaye pia nimwenyejikwenyemafunzohayo, Seperatusi Fella, amesemakuwailikuwezakupambananakuzuiabiasharahiyokunaumuhimukwawadaumbaimbalikutoaelimunamafunzojuuyaatharizitokanazonausafirishajiharamuwabinadamu, hivyomafunzoyamarakwamaranimuhimukwawananchinawadaumbalimbali.
NayeMratibuwamradiwaShirika la Wahamiaji la Kimataifa (IOM), Tamara Keating ameahidikushirikiananamashirikambalimbaliilikukomeshabiasharahiyosambambanakutoaelimukwawananchiilikupatataarifayawahusikawabiasharahiyo.
RipotinatafitimbalimbalizakimataifajuuyabiasharahiyozinaoneshaTanzania nimojawapokatiyanchinyingizinazohuishwanabiasharaharamuyausafirishajibinaadamuambapowaathirikawengiwabiasharahiiniwatotowaliochiniyaumriwamiaka 18 nakuendeleawanaoahidiwakazinzurinamaishamazuripindiwafikapokatikanchiwanazopelekwa.
Mafunzohayoyanafanyikakatikahoteliya Colosseum jijini Dar es Salaam yakiwanalengo la kuletauelewawajinsibiasharahiyoinavyoendeshwapamojanakuletaushirikianokatikakukomeshabiasharaharamuyausafirishajibinadamubainayawanachamawaJumuiyayaMaendeleoyaKusinimwaAfrika.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger