TRA

TRA

Tuesday, May 16, 2017

VIDEO: Agizo la Waziri Nchemba kwa watakaobainika kuwapa mimba wanafunzi

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !



Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ameagiza watu wote watakaobainika kuwapa mimba wanafunzi wa kike na kusababisha kukatisha masomo yao wakiwemo wazazi na walezi, watachukuliwa hatua kari za kisheria ili kutokomeza tatizo hilo.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger