Bunge la Bajeti kwa mwaka wa fedha 2017/2017 linaendelea Dodoma
ambapo wakati wa Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,
Mbunge wa Viti Maalum CCM Esther Mahawe alikuwa mmoja
wa Wabunge waliopata nafasi ya kuchangia huku kati ya vitu alivyoitaka
Serikali kuvifanyia mabadiliko ni pamoja na tozo kubwa kwa shule binafsi
na mashari ya kutoruhusu wanafunzi kukaririshwa madarasa wanaposhindwa
kufikia viwango vya ufaulu.
SHARE
No comments:
Post a Comment