Wageni wa Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai ambao ni Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kongwa wakitembelea
maeneo Mbalimbali ya Viwanja vya Bunge jana baada ya kuhudhuria Kikao
cha 22 Mkutano wa 7 wa Bunge la 11 unaoendelea Mjini Dodoma.
SHARE
No comments:
Post a Comment