Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiongea na wadau wa michezo
wakati wa uwekaji saini wa msaada wa fedha wa Shillingi Bilioni 2.1
baina ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) na Kampuni ya Bia ya
Serengeti (SBL), kulia ni Rais wa TFF Jamal Malinzi na Kushoto ni
Mkurugenzi Mtendaji wa SBL Bibi. Helene Weesie.
SHARE
No comments:
Post a Comment