• About
  • Services
  • Products
  • Blog
  • Contact Us

NCHI YANGU

Menu
  • Home
  • Lifestyle
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
    • Sub Menu 1
      • Sub Menu 1
      • Sub Menu 2
      • Sub Menu 3
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Post
  • Fitness
  • Music
  • Travel
  • Politics
  • Beauty

TRA

TRA

Wednesday, June 14, 2017

Home > > China kupanda viazi kwenye mwezini

China kupanda viazi kwenye mwezini

at 10:34 PM
Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Wanasayansi kutoka China watajaribu kukuza viazi kwenye Mwezi kama sehemu ya safari yao watakayoifanya hivi karibuni mwezini.

Kwa mujibu wa taarifa katika gazeti la Chongqing Morning Post, viazi hivyo vitakuzwa ndani ya mfumo wa mazingira ambao utakuwa umedhibitiwa.

Hiyo itakuwa sehemu ya majukumu ya wana anga watakaosafiri kwa kutumia chombo cha anga za juu cha Chang'e-4 mwaka ujao.

Watakuwa kwenye chombo kimoja cha umbo la mcheduara pia na nondo wa hariri ambao pia watakuwa wanafanyiwa majaribio, Profesa Xie Gengxin wa chuo kikuu cha Chongqing aliambia gazeti hilo.


  • China yarejesha chombo cha Marekani
  • China yajiandaa kutuma binadamu wakaishi kwenye Mwezi
Lengo ni kuona iwapo wadudu hao na viazi hivyo vinaweza kuishi na kukua kwenye mwezi.

Matokeo yake ni kwamba watapata habari za kina zaidi kuhusu uwezekano wa binadamu kuhamia kwenye Mwezi na kuishi huko, kituo cha redio cha China Radio International kinasema.

Viazi vilitumiwa kwenye filamu ya kuigiza ya The Martian ya mwaka 2015, ambayo iliigiza jinsi mwana anga aliyekwama sayari ya Mars alifanikiwa kuishi kwa kukuza viazi.

Matt Damon aliigiza mwana anga huyo katika filamu hiyo ilifuata hadithi ya kitabu cha Andy Weir.

CHANZO: BBC
Unknown

Author: Unknown

SHARE
  • Share
  • Tweet
  • Share
  • Pin
  • Share
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Fourni par Blogger CodeEnvoyer par emailBlogThis !Partager sur TwitterPartager sur FacebookPartager sur LinkedInÉpingler sur PinterestPartager sur StumbleUponVoter pour cet article sur HelloCoton

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Tupate kupitia Facebook

Popular Posts

  • Tatizo lenu Serikali mlitanguliza vyeti
    Said Mwishehe JAMANI leo naomba niseme mapema kuwa tatizo la Serikali kwa watumishi wa umma ilitanguliza zaidi vyeti ili kutoa ajira badala ...
  • Dalili tano za wanawake wanaochepuka |
    ...
  • Korea Kaskazini waanza kazi
    Jeshi la Marekani limesema mfumo wake wa Thaad wa kutoa kinga dhidi ya makombora umeanza kufanya kazi nchini Korea Kusini. Msemaji wa jes...

Popular Posts

  • Tatizo lenu Serikali mlitanguliza vyeti
    Tatizo lenu Serikali mlitanguliza vyeti
    Said Mwishehe JAMANI leo naomba niseme mapema kuwa tatizo la Serikali kwa watumishi wa umma ilitanguliza zaidi vyeti ili kutoa ajira badala ...
  • Dalili tano za wanawake wanaochepuka |
    ...
  • Korea Kaskazini waanza kazi
    Korea Kaskazini waanza kazi
    Jeshi la Marekani limesema mfumo wake wa Thaad wa kutoa kinga dhidi ya makombora umeanza kufanya kazi nchini Korea Kusini. Msemaji wa jes...
  • WADAU WA JOTOARDHI WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
    WADAU WA JOTOARDHI WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Juliana Pallangyo akifungua warsha ya siku moja ya wadau wa Jotoardhi uliofan...
  •   MAMBO 15 USIYOFAHAMU YA KUSHANGAZA KUHUSU MBWA MWITU
    MAMBO 15 USIYOFAHAMU YA KUSHANGAZA KUHUSU MBWA MWITU
    1. Maisha yao ni mpela mpela, hakunaga muda wa kupumzika muda wa kazi kila kitu ni mchaka mchaka tuu, wanaharaka pasina mfano. 2. Wan...
  • Ulaya inapaswa kuchukua njia yake
    Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amezitaka nchi za Ulaya kusimamia yenyewe mustakabali wake, akisema wakati wa kuwategemea washirik...

Pages

  • Home
  • About Us
  • Contat Us
 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger