Takriban watu tisa
wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya bomu lililokuwa limetegwa
kwenye gari kulipuka katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
Mashuhuda wanasema gari hilo lilikuwa kwenye mwendo kasi
Mmoja wa mashuhuda amesema aliona miili kadhaa ikitapakaa baada ya tukio hilo.
Kundi la wapiganaji wa al-Shabaab limekiri kuhusika na shambulizi hilo.
CHANZO: BBC
SHARE









No comments:
Post a Comment