
Mtandao maarufu wa The Mirror umeripoti kuwa Hotel hiyo ya kifahari yenye vyumba 77 imejengwa mwaka 2013 na imenunuliwa kwa Pound 26m ambapo gharama ya kulala kwa usiku mmoja ni kati ya euro 250 hadi euro 300.
Ikumbukwe pia kuwa Lionel Messi alianzisha kampuni yake inayoitwa Rosotel hivi karibuni ambayo inahusika na uwekezaji katika Hotel na Apartments.








SHARE
No comments:
Post a Comment