Baadhi ya Washiriki wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi Katika Ofisi ya Makamu wa Rais Jijini Dar Esa Salaam
Baadhi ya Washiriki wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika katika Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Washiriki wa kikao cha
Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika katika Ofisi ya Makamu wa Rais
jijini dare s Salaam, wakiimba kwa pamoja wimbo wa Wafanyakazi.
Aliyesimama Bi Emmy Rugendela
Afisa Elimu kazi katoka Ofisi ya Waziri Mkuu akishiriki katika baraza la
wafanyakazi Ofisi ya Makamu wa Rais na kutoa mada iliyohusu wajibu wa
wajumbe katika Barazala Wafanyakazi. Kikao hicho kilifanyika katika Ofisi
ya Makamu wa Rais Dar es Salaam.
Aliyesimama kujitambulisha ni Bi
Jane A. Mbura Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi Serikali kuu na
Afya (Tughe), Kulia kwake ni Bw. Gaudensi Kadago katibu wa Tughe Mkoa
wa Dar es Salaam, na kushoto ni Bw. Deogratius Mbwasi katibu wa Tawi la
Tughe Ofisi ya Makamu wa Rais.
Katikati Katibu Mkuu Ofisi ya
Makamu wa Rais, Profesa Faustine Kamuzora akiongea katika kikao cha
Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika katika ofisi hiyo jijini Dar es
salaam Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Injinia Ngosi Mwihava,
kushoto ni Bw. Isaya Kisiri Mwenyekiti wa baraza la wafanyakazi Ofisi ya
Makamu wa Rais. (Picha na Evelyn Mkokoi)
SHARE
No comments:
Post a Comment