Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimlaki Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.
Olusegun Obasanjo aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 20,
201
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais
Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo aliyemtembelea Ikulu jijini
Dar es salaam leo Juni 20, 201
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsindikiza
Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo baada ya kufanya naye
mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 20, 201
SHARE
No comments:
Post a Comment