TRA

TRA

Thursday, June 8, 2017

Kodi za nyumba zaibua mjadala bungeni

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

Mjadala kuhusu kodi za nyumba umeibuka bungeni leo na kusababisha serikali kutoa msimamo wa suala hilo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simbachawene alisema ni marufuku kwa halmashauri kutoza kodi nyumba za tembe, nyumba za bati pamoja na zilizojengwa kwa ajili ya makazi.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger