Michezo miwili ya nusu fainali ya kombe la dunia la vijana chini ya miaka 20 itapigwa leo korea kusini.
Kikosi cha Uruguay
Katika dimba la Jeonju Italy, waliowafungisha virago Zambia watakipiga na England,ambao waliwaondosha Mexico katika robo fainali.
Michezo ya mshindi wa tatu na fainali itapigwa tarehe 11 ya mwezi huu katika Suwon.
SHARE
No comments:
Post a Comment