TRA

TRA

Tuesday, June 13, 2017

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 46, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 13, 2017.

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


unnamed
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 13, 2017
1
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angeline Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
2
NaibuWaziri waAfya ,Maendeleo yaJ amii ,Jinsia ,Wazee na Watoto Mhe.Dk Khamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 13, 2017
3
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani akifuatilia jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dk Suzan Kolimba hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
4
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Ajira na Vijana Mhe.Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
6
Waziri waNchiOfisiya Waziri Mkuu Sera ,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Watu wenye Ulemavu, JenistaMhagama akizungumza jambo na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
  7
Mbungewa Viti maalum (CCM) Mhe.FatmaToufiq akiuliza swali katika kikao cha 46 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 13, 2017
8
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni ,Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura akiwa katika picha ya pamoja na wanakwaya  K.K.K.T Ilongero-MijuhuSingidaBungeniMjini Dodoma.
10 unnamed
Mbungewa Viti maalum (CCM) Mhe.Ritta Kabati akiuliza swali katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 13, 2017.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger