TRA

TRA

Thursday, June 15, 2017

Michuano ya kombe la mabara kuanza Jumamosi

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

Wenyeji Urusi wataanza michuano hiyo kwa kuikabili New Zealand kundi A


Michuano ya kombe la Mabara inatarajiwa kuanza kesho Jumamosi nchini Urusi ikiwa ni mwaka mmoja kabla ya kufanyika kwa fainali za kombe la dunia ikishirikisha mataifa nane.

Kuelekea Michuano hiyo Shirikisho la kandanda Ulimwenguni (FIFA) limewataka waamuzi watakochezesha kusimamisha mchezo au kuuvunja endapo Mashabiki watakashifu na kutoa lugha za kibaguzi viwanjani wakati wa Mechi.
 
Urusi ambao ndio wenyeji wa fainali za kombe la Dunia za Mwaka 2018, hawana sifa nzuri ya kutenda haki uwanjani na mara nyingi kumekuwa tabia za kibaguzi, na FIFA imedai kuwa itaweka waangalizi wa mambo ya kibaguzi viwanjani.

Wenyeji Urusi wataanza michuano hiyo kwa kuikabili New Zealand kundi A, Jumapili Ureno watachuana na Mexico huku Cameroon ikimenyana Kundi B.

CHANZO: BBC

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger