Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (tatu kushoto) akiteteta
jambo na Shekh wa Mkoa wa Mbeya, Mohamed Ally Mwansasu wa (pili
kulia)wakati wa hafla ya futari iliyo andaliwa na Benki ya NMB kwa ajili
ya wateja wa NMB walio katika Mfungo wa Ramadhani Mkoa wa Mbeya. Hafla
hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Tughimbe mwishoni mwa wiki. Wengine
katika picha ni maofisa wa Benki ya NMB. Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker ( pili kulia) akitetea jambo
na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Dhairi Kidavashari mara baada ya
kumalizika kwa hafla ya futari iliyo andaliwa na Benki ya NMB kwa ajili
ya wateja wa NMB walio katika Mfungo wa Ramadhani Mkoa wa Mbeya. Hafla
hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Tughimbe mwishoni mwa wiki. Mkuu
wa Wilaya ya Chunya Rehema Madusa (kwanza kulia) akiwa na Mkurugenzi
Mtendaji wa NMB, Ineke Bussemaker wa (kwanza kushoto) wakati wa hafla ya
futari iliyo andaliwa na benki ya NMB kwa ajili wateja wa NMB walio
katika Mfungo wa Ramadhani Mkoa wa Mbeya. Hafla hii ilifanyika katika
Ukumbi wa Tughimbe mwishoni mwa wiki. Katikati ni mjumbe wa Bodi ya
Wakurugenzi NMB, Margaret Ikongo. Kaimu
Mkurugenzi wa Wateja wadogo na wakati NMB, Abdulmagid Nsekela (pili
kushoto) akiteta jambo na Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu Kusini
–Badru Idd, wakati wa hafla ya futari iliyo andaliwa na benki ya NMB kwa
ajili wateja wa NMB walio katika Mfungo wa Ramadhani Mkoa wa Mbeya.
Hafla hii ilifanyika katika Ukumbi wa Tughimbe.
No comments:
Post a Comment