TRA

TRA

Thursday, June 15, 2017

PROF. MKUMBO ARIDHISHWA NA MAENDELEO WA MRADI WA NG’APA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


unnamedMoja ya miundombinu  inayojengwa kwenye mradi  wa maji wa Ng’apa, mjini Lindi.
1
Katibu Mkuu Wizara ya Maji naUmwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo akipata maelekezo kuhusu ramani ya ujenzi wa mradi wa Ng’apa kutoka kwa Mhandisi Mshauri wa Mradi, Innocent Mgaya
2Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo akiwa kwenye mazungumzo na Mhandisi Uendeshaji na Matengenezo, Yinus Krick kutoka Kampuni ya Lahmeyer na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi naUsafi wa Mazingira (LUWASA), Inj. Riziki Chambuso (katikati).
3
Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo akikagua moja ya miundo mbinu inayojengwa kwenye mradi wa maji wa Ng’apa, mjini Lindi pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (LUWASA), Inj. Riziki Chambuso
………………………
Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo ameridhishwa na maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa maji wa Ng’apa uliopo mkoani Lindi mara baada ya ziara aliyoifanya jana mjini Lindi.

Prof. Mkumbo amefanya ziara hiyo kwa nia ya kujua hali ya utekelezaji wa mradi huo mkubwa  ambao unatekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mji wa Lindi (LUWASA), kama sehemu ya kufuatilia maagizo yaliyotolewa na Rais John Magufuli miezi michache iliyopita wakati akiwa katika ziara yake ya kikazi mkoani humo.

“HaliyahudumayamajiLindisinzuri, ukizingatiainakidhiasilimia 40 tuyamahitaji. KwamradihuuwaNg’apaukikamilikautatoahudumayamajikwaasilimia 100kwawakaziwamjiwaLindi, ikumbukweMhe. RaisalifanyaziaraLindinaakatoamaelekezokuhusumradihuu”, alisema Prof. Mkumbo.
Prof. MkumboalisemakuwaziarahiyonisehemuyakufuatiliautekelezajiwamaelekezoyaMhe. Raisnaamefurahishwanamaendeleoyamradihuo, nakuwamajiyameshafikanakilichobakinikupelekwakwenyechujioambalolipokwenyematengenezokablayakuanzakusambazwakwawananchi.
HukuakisisitizakuwaniwajibuwaSerikalikutoahuduma bora kwawananchina LUWASA hainabudikutekelezamradihuokwawakatikwaniabayaSerikali.
Wakatihuo, MkurugenziMtendajiwaMamlakayaMajisafinaUsafiwaMazingira (LUWASA), Inj. RizikiChambusoalisemamradihuoumefikiahatuanzurinawatatekelezaagizo la RaiskuwaifikapomweziJulaimradiutakuwaumekamilikanakuwapatiawakaziwaLindimjinimaji.
MradiwaNg’apanimojayamiradimikubwainayotekelezwanaSerikaliyaAwamuyaTanokamasehemuyaahadiyakenaunategemeakugharimu Sh. bilioni 29, kufikiasasa Sh. bilioni 22 zimeshatolewa. Ujenziwamradihuo, piautahusishaupanuziwamiundombinuyamajikwamaeneoambayohayajafikiwanamiundombinuhiyokwaajiliyakusambaziamaji.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger