Mtaalam wa Kujitolea kutoka nchini Japani Bi. Moemi Ikeda akielezea
namna alivyofanya kazi katika Shule ya Msingi Lusanga-Morogoro, katika
hafla fupi ya kuwaaga wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japan
waliomaliza muda wao iliyofanyika ukumbi wa UTUMISHI leo.
Mwakilishi
kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Bw. Fundikira Ekerege
(kulia) akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya elimu yaliyowasilishwa
katika hafla fupi ya kuwaaga wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japan
waliomaliza muda wao iliyofanyika ukumbi wa UTUMISHI leo.
Mkurugenzi
wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bi.Roxana
Kijazi (kushoto) akikabidhi zawadi kwa Mtaalam wa kujitolea kutoka
nchini Japan Bi. MIDORI MIYAZAKI aliyemaliza muda wake wa kutoa huduma
nchini katika hafla ya kuwaaga wataalam hao iliyofanyika ukumbi wa
UTUMISHI leo.
Mkurugenzi
Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bi.Roxana
Kijazi (kushoto) akikabidhi zawadi kwa Mtaalam wa kujitolea kutoka
nchini Japan Bw. Shota Yanagisawa aliyemaliza muda wake wa kutoa huduma
nchini katika hafla ya kuwaaga wataalam hao iliyofanyika ukumbi wa
UTUMISHI leo.
Mkurugenzi
wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bi.Roxana
Kijazi (wa tano kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na
Wataalam wa Kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao wa kutoa
huduma nchini baada ya hafla ya kuwaaga iliyofanyika UTUMISHI leo.
SHARE
No comments:
Post a Comment