Naibu Waziri Ofisi ya Rais Sharia, Utumishi wa Umma na Utawala bora Zanzibar, Khamis Juma Maalim (wa pili kushoto) pamoja na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu (kushoto) wakiwakabidhi boksi la tende wazee wasiojiweza wa mjini Zanzibar ikiwa ni moja ya msaada na zawadi zilizotolewa na Vodacom Tanzania Foundation kwa ajili ya wazee hao pamoja na watoto yatima ili waweze kusherehekea sikukuu ya Ramadhani kesho kutwa,Mfuko huo wa kusaidia jamii ulitoa vyakula mbalimbali na mbuzi kwa wazee hao na watoto waishio katika mazingira magumu wa mjini humo jana.
SHARE
No comments:
Post a Comment