
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya bima ya Resolution BI. Mary Anne Mugo akishiriki
zoezi la uchangiaji damu kama mchango wake kwenye maadhimiso ya siku ya
uchangiaji damu duniani. Zoezi hilo limefanyika makao makuu ya kampuni
hyo jijini Dar es Salaam.

Wafanyakazi
wa kampuni ya bima ya Resolution wakishiriki zoezi la uchangiaji damu
kama mchango wao kwenye maadhimiso ya siku ya uchangiaji damu duniani.

Mfanyakazi wa kampuni ya bima ya Resolution, Bi. Rose Ngowi akishiriki zoezi la uchangiaji damu.

Mfanyakazi wa Kampuni ya Bima ya Resolution, Bw. Marcelino Mitawa akishiriki zoezi la uchangiaji damu

Mfanyakazi wa Kampuni ya Bima ya Resolution, Bi. Namshalu Kisimbo akishiriki zoezi la uchangiaji damu

Mfanyakazi wa Kampuni ya Bima Resolution, Bw. Godfrey Adialo akishiriki zoezi la uchangiaji damu.
…………………….
Wafanyakazi
wa kampuni ya bima ya Resolution wachangia damu. Hii ni katika
kuadhimisha siku ya kimataifa ya uchangiaji damu. Akizungumza wakati wa
zoezi hilo Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya bima ya Resolution Bi. Mary
Anne Mugo alisema kuwa mchango huo upo ndani ya viupaumbele vya kampuni
hiyo, kusaidia jamii katika maeneo mbalimbali ikiwemo afya za
watanzania.
“Tupo
katika utaratibu wa kawaida wa kuwajibika kwa jamii na dhumuni ni
kuunga mkono juhudi za serikali za kuhakikisha benki ya damu nchini
inakuwa na akiba ya kutosha” alisema Mugo.
SHARE
No comments:
Post a Comment