Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa
Mipango na Bajeti wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Amani Mashaka (katikati),
akitoa maelekezo kwa watumishi ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,
wakati wa kikao cha Mpango Kazi na Mpango wa Ununuzi wa bajeti ya wizara
hiyo.Kikao hicho kimefanyika jana katika ukumbi wa Bwalo la Jeshi la
Magereza,Ukonga,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mtumishi wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji, Fatuma Mohamed (aliyevaa miwani), akiomba ufafanuzi kutoka
kwaKaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Mipango na Bajeti wa Wizara ya Mambo ya
Ndani, Amani Mashaka(aliyesimama kulia) wakati wa Kikao cha Mpango Kazi
na Mpango wa Ununuzi wa bajeti ya wizara. Kikao kimefanyika leo katika
Ukumbi wa Bwalo la Jeshi la Magereza,Ukonga,jijini Dar es Salaam.
Mratibu Mwandamizi wa
Uhamiaji,Colla Kayumba, akizungumza na watumishi wengine wa idara
hiyo, Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji, Said Kassim (katikati) na Mkaguzi
Msaidizi Sanga Hussein, wakati wa Kikao cha Mpango Kazi na Mpango wa
Ununuzi wa bajeti ya wizara.Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa
Bwalo la Jeshi la Magereza,Ukonga,jijini Dar es Salaam.
SHARE
No comments:
Post a Comment