Katibu Mkuu Wizara ya
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akiwa na
Naibu Katibu wa Wizara hiyo Bi.Nuru Millao na Viongozi Waandamizi wa
Wizara wakifuatilia mijadala mbalimbali katika kikao cha hamsini cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
Wabunge kutoka Bunge la Msumbiji
ambao ni wajumbe wa kamati ya Serikali za Mitaa kwa ambao wamekuja kwa
ziara ya mafunzo wakiwa katika picha ya pamoja katika viwanja vya Bunge
leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akiongoza kikao cha hamsini cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa
Rais (Mazingira na Muungano) Mhe.Luhaga Mpina akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani
Mhe.Hamad Masauni akifafanua jambo katika kikao cha hamsini cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
Naibu Waziri wa Maji na
Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Juni 19, 2017.
Naibu Waziri wa Kilimo ,Mifugo na
Uvuvi Mhe.William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
katika kikao katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la
11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
Naibu Waziri wa Elimu ,Sayansi na
Teknolojia Mhe.Eng Stella Manyanya akiteta jambo na Mbunge wa Mkuranga
Mhe. Abdallah Ulega katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
Maafisa habari wa chama cha Public
Relations Society of Tanzania (PRST) kutoka Jijini Mwanza wakifuatilia
kwa makini shughuli za Bunge katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
SHARE
No comments:
Post a Comment