Sio tu
uzuri bali hata fedha anazo pia, huyu ni video vixen kutoka Kenya, Vera
Sidika ameanua kuonyesha jeuri ya fedha kwa kufanya matanuzi.

Vera
ambaye kwa sasa yupo Uingereza baada ya kutoka Marekani ameonyesha
kufuru ya hatari kupitia mtandao wa Instagram kwa kuweka picha akiwa
nafanya matanuzi ya kibabe, kwa kula bata na kufanya shopping ya hatari.




SHARE








No comments:
Post a Comment