Baadhi
ya wananchi waliofika katika banda la Kampuni ya Uwekezaji UTT-AMIS
wakipata maelezo kutoka kwa maofisa wa kampuni hiyo, Mfaume Kimario na
Abbas Kandila, walipotembelea banda hilo katika Maonyesho ya 41 ya
Biashara ya Kimataifa (Sabasaba).
Mwananchi akisoa kipeperushi chenye taarifa za Kampuni ya Uwekezaji UTT AMIS wakati alipotembelea banda la kampuni hoyo kwenye Maonyesho ya Sabasaba.
Ofisa
Masoko Mwandamizi wa Kampuni ya Uwekezaji UTT AMIS, Mfaume Kimario,
akitoa maelekezo juu ya namna ya kujiunga na Mifuko ya Uwekezaji wa
Pamoja inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa mwananchi aliyefika katika
banda la UTT AMIS baada ya kupata elimu juu ya kuhusu mifuko hiyo.
Ofisa
Uhusiano Mwandamizi wa Kampuni ya Uwekezaji UTT-AMIS, Mfaume Kimario,
akitoa maelekezo juu ya namna ya kujiunga na Mifuko ya Uwekezaji wa
Pamoja kwa mwananchi aliyefika katika banda la UTT AMIS.
Ofisa
Uhusiano Mwandamizi wa UTT AMIS, Mfaume Kimario, akitoa Elimu Juu ya
Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja kwa mmoja kwa wananchi waliofika katika
banda la UTT AMIS katika Maonyesho ya Sabasaba.
Ofisa
wa Kampuni ya Uwekezaji UTT-AMIS, Abbas Kandila akitoa Elimu Juu ya
Huduma wanazotoa kwa wananchi waliofika katika banda la kampuni hiyo.
Maofisa
wa Kampuni ya Uwekezaji UTT-AMIS, Nuru Thabit na Halfan Mnongane,
wakitoa maelezo kwa wanachama walipofika katika banda la UTT AMIS katika
Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba).
SHARE
No comments:
Post a Comment