Beki wa Manchester United Eric
Bailey amepewa marufuku ya mechi tatu baada ya kupewa kadi nyekundu
dhidi ya Celta Vigo katika ligi ya Yuropa.
Hatahivyo marufuku hiyo sasa imeongezwa na itashirikisha mechi mbili.
Bailey atakosa mechi ya kombe la Supercup dhidi ya Real Madrid tarehe 8 mwezi Agosti na mechi United katika kombe la vilabu bingwa Ulaya.
Kesi ya mchezaji huyo wa Ivory Coast haiwezi kumwezesha kukata rufaa kwa sababu soka ya Ulaya haiwezi kubadilisha uamuzi wowote usipokuwa ule ambao ulifanywa kimakosa.
CHANZO; BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment