TRA

TRA

Friday, July 7, 2017

BENKI YA POSTA (TPB), YAKABIDHI SERIKALI GAWIWO LA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 1.032

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !



Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya TPB, Profesa Lettice Rutashobya (kulia) akimkabidhi hundi kifani yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1.032/- Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt. Phillip Mpango. Fedha hizo ni gawio limetolewa kwa Serikali baada ya benki hiyo kupata faida ya shilingi Bilioni 15 mwaka 2016. Wakwanza kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bi.Dorothy Mwanyika na wa pili kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB Bw. Sabasaba Moshingi. Tukio hilo ilifanyika kwenye Makao Makuu ya Wizara ya Fedha na Mipango, mjini Dodoma

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger