PROFESA JUMANNE MAGHEMBE
JAMHURI YA
MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA
MALIASILI NA UTALII
UTEUZI WA WAJUMBE
WA BODI YA MAMLAKA YA
HIFADHI YA ENEO
LA NGORONGORO
Kufuatia kumalizika kwa muda wa Bodi
ya Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (Ngorongoro
Conservation Area Authority – NCAA) tarehe 20 Mei, 2017, Waziri wa
Maliasili na Utalii, Mheshimiwa Prof.
Jumanne A. Maghembe (MB) ameteua Bodi mpya ya Mamlaka hiyo. Walioteuliwa
kuwa Wajumbe wa Bodi hiyo mpya ni:-
|
|
|
1.
|
Bw. Simon Fundi Sayore
|
FCCA (London), CPA (Tanzania), Mkaguzi wa
Mahesabu Mwandamizi
|
2.
|
Brig Gen (Mst.) Aloyce Damian
Mwanjile
|
M.A
(Security and Strategy Studies- Israel) Advanced Diploma in Material
Management.
|
3.
|
Political
Science and International Relations.
|
|
4.
|
Bw. Godfrey Ndaserwa Lelya,
|
B.A.
Development Studies, Community Development Specialist.
|
5.
|
Eng. Peter Rudolf Ulanga
|
ICT Engineer and IT Expert.
|
6.
|
Prof. Audax Mabula, PhD
|
Mkurugenzi
Mtendaji, Makumbusho ya Taifa.
|
7.
|
Bw. Mudhihir Mohamed Mudhihir ,LLB
|
Mbunge
Mstaafu, Mtaalam wa Habari.
|
8.
|
Prof. Kalunde Pili Sibuga, PhD
|
Mtaalamu
wa Sayansi ya Mazao na Vinasaba vya Mimea, Mkuu wa Kitivo cha Kilimo Mstaafu-
Sokoine University of Agriculture.
|
9.
|
Bw. Vita Rashid Kawawa
|
Diploma
Business Education, Mbunge na Mkuu wa Wilaya Mstaafu.
|
10.
|
Dr. Fredy Manongi, PhD
|
Mhifadhi Mkuu-
NCAA, Katibu wa Bodi.
|
Uteuzi
huu ni wa kipindi cha miaka mitatu kuanzia tarehe 05/07/2017.
Imetolewa na:
KATIBU MKUU
05/07/2017
SHARE
No comments:
Post a Comment