Kaimu Mkuu wa Kitengo cha
Mawasilano Shirika la Ndege la ATCL, Lilian Fungamtama akifurahia
jambo na wananchi waliotembelea banda la shirika hilo lililopo katika
banda la Maliasili katika maonyesho ya Maonyesho ya biashara ya
Sabasaba yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara
ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Maonyesho hayo yanaandaliwa na Mamlaka ya
Maendeleo ya Biashara ya Nje TANTRADE na kufanyika kila mwaka mwezi
Julai.
Baadhi ya wananchi mbalimbali
wakitembelea banda la Shirika la Ndege la ATCL katika viwanja vya
maonyesho vya J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa.
Octavian Nshiu Makamu wa Rais
Viwanda Shirika la TCCIA akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
watumishi wa shirika hilo katika banda lao kwenye maonyesho ya Sabasaba
yanayoendelea Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaa,
Baadhi ya wadau wa TCCIA
wanaoshughulika na mavazi ya viwandani na ujenzi wakiwa katika banda
lao kwenye maonyesho ya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
SHARE
No comments:
Post a Comment