Taarifa kutoka
Ghana zinasema kwamba pametokea ajali ya gari lililokuwa limebeba
miongoni mwa timu kongwe nchini humo Asante Kotoko.
Ajali hiyo imetokea katika sehemu iitwayo Nkawkaw kilomita 150 kutoka mji mkuu wa Ghana, Accra. Inasemekana kuwa baadhi ya wachezaji wameumia vibaya akiwemo pia kocha wa timu hiyo na pia kuna kifo cha mtu mmoja.
CHANZO: BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment