Waziri Mkuu Kasim Majaliwa ameahirisha mkutano wa Bunge mjini Dodoma leo hadi utakapoanza tena Septemba mwaka huu. Miongoni mwa mambo ambayo aliyapa msisitizo mkubwa katika hotuba yake ni pamoja na;
1. Kulinda usalama wa nchi
2. Kujenga uchumi
3. Kufichua wakwepa kodi
4. Kufanya mazoezi kwa usalama wa afya za Watanzania
5. Kuepuka matumizi mabaya ya rasilimali za nchi
6. Kuzingatia muda pamoja na kuepuka uvivu
7: Kuendelea kupiga vita dawa za kulevya
8. Kuhamasisha michezo
9. Hali ya chakula si nzuri sana
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
SHARE
No comments:
Post a Comment