Mhandisi mwandamizi wa Mfuko wa
Pensheni wa PSPF, Bw. Ally R. Shanjirwa (kulia), akimkabidhi kadi yake
ya uanachama wa Mfuko huo, kupitia mpango wa uchangiaji wa hiari (PSS),
Bi.Julieth Mwiziko, punde tu baada ya kujiunga.
Afisa
Uendeshaji wa PSPF, Bi. Irine J. Musetti (kulia),
akimkabidhi kadi yake ya uanachama wa Mfuko huo, kupitia
mpango wa uchangiaji wa hiari (PSS), Bi.Sakina Iddi Tundu, punde tu baada
ya kujiunga.
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF, Bw.
Abdul Njaidi (kulia), akimsaidia mama huyu kujaza fomu za kujiunga na
PSPF kupitia mpango wa uchangiaji wa hiari PSS.
Mwanachama huyu akiwa amepatiwa taarifa za michango yake papo hapo
Mwanachama akisoma taarifa za michango yake
Binti huyu akisoma kipeperushi chenye taarifa mbalimbali za PSPF
Bi. Modesta Mchopa, ambaye naye ni afisa
wa PSPF aliye kwenye mafunzo. akiwahudumia wanachama hawa wa Mfuko huo
waliofika kujua michango yao.
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF, Bw.
Abdul Njaidi (wapili kushoto), akimwelekeza jambo Mfanyakazi wa PSPF
aliye kwenye mafunzo ya vitendo, Bw.Honorath Tillya, (watatu kushoto),
huku mwananchi aliyetembelea banda la Mfuko huo (kulia), akijaza kitabu
cha wageni. Wakwanza kushoto ni Modesta Mchopa, ambaye naye ni afisa wa
PSPF aliye kwenye mafunzo.
Win-God, (kushoto), Afisa wa uendeshaji msaidizi wa PSPF, waliwahudumia wateja.
Afisa uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF anayeshughulikia masuala ya uchangiaji wa hiari (PSS), Bi. Asmahan H. Haji,(kulua), akiwahudumia wananchi waliotembelea banda la Mfuko huo. |
Anna
Lukando, katikati anayeangalia camera), ambaye ni Afisa Mipango wa
Taasisi ya Ardhi Plan Limited, ambayo ni mshirika wa PSPF katika
masuala ya viwanja, akiwapatia maelezo wananchi waliofika banda la PSPF
ili kupatiwa huduma za uanachama. Wanachama wa PSPF kwa mujibu wa
sheria, wanaweza kukopeshwa viwanja na taasisi hiyo.
Bw. Isack Kimaro, (kushoto), Afisa wa uendeshaji PSPF, akimuhudumia mwananchi aliyejiunga kwenye mpango wa PSS
Afisa wa Huduma za Sheria wa Mamlaka ya
Udhibiti na Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii, (SSRA), aliye kwenye banda la
Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bi. Imani Masebu, (wapili kulia),
akiwafafanulia masuala muhimu yahusuyo hifadhi ya jamii wananchi hawa
waliofika wkenye banda la Mfuko huo. Kulia ni Afisa Mkuu wa Mifumo ya
Kompyuta wa PSPF, Bi. Mariam Ibrahim.
Kikao cha tathmini ya kazi iliyofanyika
kutwa nzima katika banda la PSPF kikiongozwa na mkuu wa timu
inayoshiriki kuwahudumia wananchi kwenye banda hilo Bw. Abdul Njaidi.
SHARE
No comments:
Post a Comment