Msimu mpya wa English Premier League
2017/18 unakaribia kuanza Agosti mwaka huu na mbali ya kufanya
maandalizi kwa mazoezi na usaji klabu zimekuwa zinazindua jezi zao
watakazozitumia kwenye ligi hiyo.
Mara hii ni zamu ya Manchester United ambayo imetangaza jezi zake watakazozitumia kwa michezo ya nyumbani ikiwa ni kurejea kwao kwenye Champions League ikiwa ni mwaka wao wa tatu katika dili la miaka 10 lenye thamani ya Pound 750m na adidas.
Jezi hizo zimetambulishwa Jumatatu na wachezaji wa United wakiongozwa na Nahodha wao Wayne Rooney.
SHARE
No comments:
Post a Comment