TRA

TRA

Monday, July 17, 2017

MAYWEATHER AWA KIVUTIO KWA AKINA DADA MTAANI

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

 


Baada ya kurejea kutoka kutangaza pambano lake dhidi ya Conor McGregor, bondia Floyd Mayweather amesimamisha gari barabarani na kuwapa nafasi mashabiki kupiga naye picha “selfie”.

Bondia huyo ambaye hajawahi kupigwa katika mapambano yake 49, alisimama mbele ya mashabiki hao ambao hawakutegemea na kupiga naye picha.

Mayweather alisimama katika eneo la “Uswahilini” la Harlem na kuwapa mashabiki hao nafasi ya kupiga picha.



Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger