Msanii mkongwe wa Bongo Flava, Juma Nature ametoa mtazamo wake kwa namna anavyoona game ya muziki huo kwa sasa.
Juma
Nature ameiambia Planet Bongo ya EA Radio kuwa game ipo vizuri ili
kumekuwa na tatizo la wasanii kuigana style katika vitu vingi.
“Game
nzuri tu sema watoto wanaigana hiyo ndio tofauti ninayoiona mimi.
Wanaokaza nadhani kwa asilimia kubwa ni wale wanaoimba hip hop hata
nikisikiliza mashairi yao, style zao, beat zao wanakaza, kama Mr Blue,
Young Dee na Young Killer nawaeleza kwa sababu watu wote watuwezi
tukapenda kitu kimoja,” amesema Juma Nature.
SHARE
No comments:
Post a Comment