JOSEPH KABILA
KINSHASA, DRC
Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), imesema uwezekano wa uchaguzi mkuu kufanyika mwaka huu ni mgumu.
Wakati hali ikiwa hivyo, Rais Joseph Kabila inadaiwa kuwa amegoma kuachia madaraka licha ya Katiba ya nchi kutaka afanyie hivyo.
SHARE
No comments:
Post a Comment