Mwenyekiti wa Kitotongi cha Kereba kijiji cha Karagatonga kata ya Kwihancha Wilayani Tarime Mkoani Mara kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Marwa Wankuru Gasaya amekutwa ameuawa na watu wasiojulikana na kutupwa kwenye lambo la maji huku akiwa amefungwa Mikono na katani na kudumbukizwa kwenye maji na kuwekewa jiwe.
Mwenykiti huyo mwili wake umeokotwa kwenye maji baada ya
kutoonekana tangu Julai 09 alipoenda Mnadani huko serengeti na Mwili huo umebainika Julai 11 Mwaka huu.
SHARE
No comments:
Post a Comment