Katika zoezi hilo ambalo lililoandaliwa na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Juliana Shonza jumla ya Tsh. Milioni 32 zilipatikana ambapo katika hotuba yake Dr. Tulia alisema:
"Tupo Wabunge kadhaa ambao hatufanyi yale ambayo tuliwaahidi Wananchi wetu na wakati mwingine anapofanya mtu mwingine yale tuliyowaahidi Wananchi tunakasirika.
“Nawaomba Wabunge hasa wa Chama Cha Mapinduzi kuiga mfano mzuri wa Mheshimiwa Shonza wa kutekeleza kwa kutekeleza ahadi wanazozitoa kwa Wananchi wakati wa kupigiwa kura," alisema Dk. Tulia.
SHARE
No comments:
Post a Comment