TRA

TRA

Wednesday, July 5, 2017

NBS YAMUAGA MKUU WA UTAWALA WA BENKI YA DUNIA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
 

unnamed
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa (kulia) akimkabidhi zawadi aliyekuwa Mtaalamu Mkuu Utawala kutoka Benki ya Dunia, Dkt. Verena Knippel wakati wa hafla fupi ya kumuaga mara baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi hapa nchini. Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).
1
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa (kulia) akizungumza jijini Dar esa Salaam wakati wa hafla ya kumuaga aliyekuwa Mtaalamu Mkuu Utawala kutoka Benki ya Dunia, Dkt. Verena Knippel katika ukumbi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).
2
Aliyekuwa Mtaalamu Mkuu Utawala kutoka Benki ya Dunia, Dkt. Verena Knippel (kushoto) akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi hapa nchini.
3
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa (kulia) akimpongeza aliyekuwa Mtaalamu Mkuu Utawala kutoka Benki ya Dunia, Dkt. Verena Knippel (kushoto) wakati wa hafla ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi hapa nchini.
4
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa (wa sita kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa NBS pamoja na aliyekuwa Mtaalamu Mkuu Utawala kutoka Benki ya Dunia, Dkt. Verena Knippel (wa tano kushoto) wakati wa hafla ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi hapa nchini.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger