TRA

TRA

Sunday, July 16, 2017

Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni kuliamsha Dude Bonn,Ujerumani

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni aka viumbe wa ajabu Anunnaki aliens
Siku ya Ijumaa 28 Julai 2017 Saa 2.00 Usiku
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni au Viumbe wa ajabu “Anunnaki Aliens” yenye makao yake
nchini Ujerumani inatarajiwa kutumbuiza katika onyesho la wazi la Orient-Afrika litakalo fanyika mjini Bonn,Ujrumani siku ya Ijumaa 28.Julai 2017
saa 2.00 Usiku(20.00 hrs),bendi hiyo inayoongozwa na Kamanda Ras Makunja inadumu katika medani ya muziki kwa miaka 24 na kufanikiwa kuteka washabiki wa kimataifa,pamoja na kuachia nyimbo na CD kadha
bendi hiyo imejizolea umaarufu katika majukwaa ya kimataifa wa mdundo wa  Extraordinary “Bongo Dansi”  unaowatia kiwewe washabiki barani ulaya. Usikose kujumuika nao at www.ngoma-africa.com au www.instagram.com/ngomaafricaband

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger