• About
  • Services
  • Products
  • Blog
  • Contact Us

NCHI YANGU

Menu
  • Home
  • Lifestyle
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
    • Sub Menu 1
      • Sub Menu 1
      • Sub Menu 2
      • Sub Menu 3
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Post
  • Fitness
  • Music
  • Travel
  • Politics
  • Beauty

TRA

TRA

Monday, July 17, 2017

Home > > Nyani azima umeme kwa karibu saa 6 nchini Zambia

Nyani azima umeme kwa karibu saa 6 nchini Zambia

at 3:14 AM
Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

    Nyani alivuruga mitambo ya umeme katika mji wa Livingstone nchini Zambia na kukata umeme kwa karibu watu 50,000.

    Nyani huyo alifanikiwa kuingia katika kituo cha umeme siku ya Jumapili, na kuvuruga mitambo yenye umeme inayosambaza umeme kuenda maeneo ya Kusini na magharibi mwa Zambia kwa mujibu wa kampuni ya umeme nchini humo Zesco.


        Nyani

    Nyani azima umeme kwa karibu saa 6 nchini Zamabia Nyani azima umeme kwa karibu saa 6 nchini Zamabia


    Ukosefu wa umeme waikumba Kenya
    Alisema kuwa wakaazi 28,000 wa Livingstone na watu wengine 22,000 wa eneo hilo walibaki kabisa bila umeme kwa zaidi ya saa sita wakati ukarabati ulikuw ukiendelea.

    "Nyani huyo alipigwa na umeme lakini kutokana na maumbile yake ya kimazingira alipata tu majeraha mabaya ya moto. Kama angekuwa binadamu angekufa." alisema Kapata.

    Kapata alisema kuwa kampuni hiyo imeomba msamaha wateja wake kwa hasara waliyoipata.

    Mji wa Livingstone ni maarugu kwa wanyama pori kama nyani na ndovu wanaotoka mbuga iliyo karibu.
    Unknown

    Author: Unknown

    SHARE
    • Share
    • Tweet
    • Share
    • Pin
    • Share
    «
    Next
    Newer Post
    »
    Previous
    Older Post
    Fourni par Blogger CodeEnvoyer par emailBlogThis !Partager sur TwitterPartager sur FacebookPartager sur LinkedInÉpingler sur PinterestPartager sur StumbleUponVoter pour cet article sur HelloCoton

    No comments:

    Post a Comment

    Newer Post Older Post Home
    Subscribe to: Post Comments (Atom)

    Tupate kupitia Facebook

    Popular Posts

    • Rais Museveni: Sijawahi kuwa mgonjwa kwa miaka 31
      Mara nyingi kumekuwa na ripoti za kuugua kwa marais, hasa rais wa Nigeria Muhammadu Buhari. Bwana Buhari amekuwa akipokea matibabu y...
    • Buhari: Nigeria imekuwa maskini ghafla
      ...
    • LIONEL MESSI ABEBA TUZO YA MWANASOKA BORA WA MWEZI LA LIGA
      Lionel Messi ameshinda tuzo ya mwanasoka bora wa mwezi wa La Liga. Raia huyo wa Argentin...

    Popular Posts

    • Rais Museveni: Sijawahi kuwa mgonjwa kwa miaka 31
      Rais Museveni: Sijawahi kuwa mgonjwa kwa miaka 31
      Mara nyingi kumekuwa na ripoti za kuugua kwa marais, hasa rais wa Nigeria Muhammadu Buhari. Bwana Buhari amekuwa akipokea matibabu y...
    • Buhari: Nigeria imekuwa maskini ghafla
      ...
    • LIONEL MESSI ABEBA TUZO YA MWANASOKA BORA WA MWEZI LA LIGA
      Lionel Messi ameshinda tuzo ya mwanasoka bora wa mwezi wa La Liga. Raia huyo wa Argentin...
    • WHC YAFUNGUA DIRISHA LA UUZAJI WA NYUMBA KWA WATUMISHI WA MASHIRIKA BINAFSI
        Mkurugenzi Mkuu wa Watumishi Housing Limited (WHC) Dk. Freddy Msemwa sisitiza jambo wakati alipokuwa akifafanua mambo mbalimbali ...
    • JAJI MSUYA ALIVYOAGWA DAR
      Majaji wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu. KAIMU Jaji Mkuu wa  Tanzania, Prof. Ibrahim Khamis Juma mapema leo amewaongoza wao...
    • RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AIPONGEZA TWIGA STARS KWA KUWA MABINGWA WA CECAFA
      ...

    Pages

    • Home
    • About Us
    • Contat Us
     
    Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
    Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger