TRA

TRA

Monday, July 17, 2017

UCHUMI WA CHINA WAZIDI KUKUA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
Uchumi wa China ulikua kwa asilimia 6.9 kati ya mwezi Aprili na Juni kwa mujibu wa takwimu rasmi ambayo ni asillimia ya ju kuliko ilivyotarajiwa.

Ukuaji huo ambao ni mkubwa ukilinganishwa na miezi mitatu iliyopita ulikuwa sawa na robo ya kwanza ya mwaka 2017.

    Teknolojia ya kisasa inavyokuza uchumi wa China

Wachanganuzi wengi walitarajia uchumi wa china kupunguza mwendo wa ukuaji wake. Lakini takwimu za hivi punde ziko juu kuliko matarajio ya ukuaji wa asilimia 6.5.
Licha ya jitihada za kupunguza uwekezaji katika nyumba, uwekeza katika sekta za ujenzi ulikua kwa asilimia 8.5 katika robo ya kwanza ya mwaka, ambayo ni juu kutoka kipindi kama hicho mwaka 2016.

Wadadisi wanatabiri kuwa sheria ngumu za ukopeshaji haziwezi kuathiri uwekezaji kama wengi walivyotarajia.

Uchumi wa China ulikua kwa asilimia 6.9 kati ya mwezi Aprili na Juni kwa mujibu wa takwimu rasmi ambayo ni asillimia ya ju kuliko ilivyotarajiwa.

Ukuaji huo ambao ni mkubwa ukilinganishwa na miezi mitatu iliyopita ulikuwa sawa na robo ya kwanza ya mwaka 2017.

Wachanganuzi wengi walitarajia uchumi wa china kupunguza mwendo wa ukuaji wake. Lakini takwimu za hivi punde ziko juu kuliko matarajio ya ukuaji wa asilimia 6.5.
Licha ya jitihada za kupunguza uwekezaji katika nyumba, uwekeza katika sekta za ujenzi ulikua kwa asilimia 8.5 katika robo ya kwanza ya mwaka, ambayo ni juu kutoka kipindi kama hicho mwaka 2016.
Wadadisi wanatabiri kuwa sheria ngumu za ukopeshaji haziwezi kuathiri uwekezaji kama wengi walivyotarajia.a

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger