TAARIFA njema ikufikie popote ulipo kuhusu beki kisiki wa Yanga, Kelvin Patrick Yondani ambaye ameamua kuachana na ukapera.
Mkali huyo alianza kwa Send Off kisha akamalizia mambo na mzazi mwenzake ambaye ameishi naye miaka mingi.
Yondani
anaingia kwenye orodha moja na wanasoka kama Emmanuel Okwi, Ibrahim
Ajib, Mwinyi Kazimoto ambao ni wanacheza Ligi Kuu Tanzania Bara.
Hongera Yondani kwa kuamua kufanya kweli.
SHARE
No comments:
Post a Comment