AY alisema alimfanyia kama surprise baada ya kumuita ili kumpongeza mpenzi wake huyo baada ya kuhitimu ndipo akaamua kumvalisha na pete ya uchumba.
"Ilikuwa Surprise kwa watu wote kama asilimia 70 hivi. Nipo hivyo si mtu wa kuweka mambo mengi wazi kwa watu. Ilifanyika sehemu flani mimi mwenyewe naipenda. Pete ina madini ya Tanzanite na Diamond. Aliona ni kitu kikubwa kwake maana alikuwa amegraduate Engineering so nikamuita kama kumpongeza," AY.
SHARE
No comments:
Post a Comment