TRA

TRA

Monday, July 31, 2017

RAIS AZUNGUMZA NA UONGOZI BODI SHIRILA LA MELI, BANDARI NA MAMLAKA YA USAFIRI BAHARINI

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi  wa Mamlaka ya Usafirishaji Baharini na Uongozi wa Mamlaka ya Usafirishaji  Baharini katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja jana.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi  ya Shirika la Meli na Uongozi wa Shirika la Meli Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
 Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi  ya Shirika la Meli na Uongozi wa Shirika la Meli Zanziba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Bodi hiyo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja. (Picha na Ikulu).

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger