TRA

TRA

Sunday, July 16, 2017

RC SHINYANGA AKABIDHI MWENGE WA UHURU RC TABORA, MIRADI KABAMBE YAPITIWA SHINYANGA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


 Mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Mheshimiwa Zainab Telack akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka mmoja wa wakimbiza mwenge kitaifa ili aukabidhi mwenge huo kwa Mkuu wa mkoa wa Tabora,Mheshimiwa Aggrey Mwanri (wa kwanza kushoto) leo Jumapili Julai 16,2017 katika Kijiji cha Sigiri kata ya Sigiri halmashauri ya wilaya ya Nzega -Picha zote na Kadama Malunde- Malunde1 blog


Mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Mheshimiwa Zainab Telack akikabidhi mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa mkoa wa Tabora,  Aggrey Mwanri.
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Mheshimiwa Zainab Telack akitoa hotuba fupi kuhusu mbio za mwenge mkoani Shinyanga wakati akikabidhi mwenge huo kwa Mkuu wa mkoa wa Tabora,Mheshimiwa Aggrey Mwanri.Kulia ni Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa mwaka 2017,Amour Hamad Amour.
Mwenge wa uhuru ukiwa katika kijiji cha Sigiri kata ya Sigiri Halmashauri ya wilaya ya Nzega mkoani Tabora ambapo makabidhiano yamefanyika
Viongozi mbalimbali wa mkoa wa Shinyanga wakiwa eneo la tukio baada ya kumaliza mbio za mwenge mkoani Shinyanga,wakijiandaa kukabidhi mwenge huo kwa mkuu wa mkoa wa Tabora.
Viongozi mbalimbali wa mkoa wa Shinyanga wakifurahia eneo la tukio
Viongozi wakiendelea kufurahia kwa kumaliza salama mbio za mwenge mkoani Shinyanga.
Wakimbiza mwenge wakipiga ngoma eneo la makabidhiano
Viongozi wa mkoa wa Tabora wakijiandaa kupokea mwenge wa uhuru ili ukimbizwe katika mkoa huo.
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Mheshimiwa Zainab Telack akitoa hotuba fupi kuhusu mbio za mwenge mkoani Shinyanga 
Wakimbiza mwenge wa uhuru wakiwa eneo la tukio
Viongozi wa mkoa wa Shinyanga wakiwa eneo la makabidhiano
Tunafuatilia kinachoendelea hapa…
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Mheshimiwa Zainab Telack akitoa hotuba fupi kuhusu mbio za mwenge mkoani Shinyanga 
Mmoja wa wakimbiza Mwenge akishikana mkono na Mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Mheshimiwa Zainab Telack 
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa mwaka 2017,Amour Hamad Amour akizungumza eneo la tukio ambapo alisema kati ya miradi yote aliyoipitia mkoani Shinyanga,hakuna mradi alioukataa
Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa mwaka 2017,Amour Hamad Amour akishikana mkono na mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Zainab Telack.
Mkuu wa mkoa wa Tabora,Aggrey Mwanri akimkaribisha Tabora Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa mwaka 2017,Amour Hamad Amour 
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Mheshimiwa Zainab Telack akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka mmoja wa wakimbiza mwenge kitaifa ili aukabidhi mwenge huo kwa Mkuu wa mkoa wa Tabora,Mheshimiwa Aggrey Mwanri (wa kwanza kushoto)
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Mheshimiwa Zainab Telack akikabidhi Mwengewa Uhuru kwa Mkuu wa mkoa wa Tabora,Mheshimiwa Aggrey Mwanri
Zoezi la makabidhiano likiendelea
Mkuu wa mkoa wa Tabora,Mheshimiwa Aggrey Mwanri akisoma taarifa ya miradi ya maendeleo itakayozinduliwa na mwenge wa uhuru mkoani humo
Viongozi wa mkoa wa Tabora wakijiandaa kukimbiza mwenge wa uhuru
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga,mheshimiwa Josephine Matiro akiwa na mkuu wa wilaya ya Tabora,mheshimiwa Queen Mlozi wakipiga kumbukumbu
Viongozi wilayani Kahama na Shinyanga wakibadilishana mawazo baada ya zoezi la kukabidhi mwenge wa uhuru kumalizika.
Picha zote na Kadama Malunde- Malunde1 blog

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger