TRA

TRA

Sunday, July 16, 2017

TIMU MPYA YA MADAKTARI KUTOKA CHINA YAANZA KUTOA HUDUMA VIJIJINI

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
 
IMG_0666
Daktari bingwa wa macho kutoka china Qin Qin akimfanyia uchunguzi wa macho mtoto Nassor Idrisa katika zoezi la kutoa huduma vijiji lililofanyika skuli ya sekondari Chumbuni.
IMG_0651
Wananchi wa Shehia ya Banko wakisubiri huduma za matibabu kutoka kwa timu ya madaktari bingwa kutoka China waliofika katika skuli ya sekondari Chumbuni kutoa hudua hizo.
IMG_0681
Mzee Abdalla Bakari akielezea matatizo ya afya yake kwa Dkt. He Qibin kutoka China wakati timu ya madkatari hao ilipokua ikitoa huduma za afya katika Shehiya ya Banko skuli ya sekondari Chumbuni (kulia) Dkt. Zulekha Bakari akisaidia tafsiri.
IMG_0687
Dkt. Zhou Ziyue kutoka China akimpima sindikizo la damu (Pressure) Mzee. Ali Simai Makame wakati wa zoezi la kuchunguza afya wananchi wa Shehia ya Banko katika skuli ya sekondari Chumbuni.(Picha na Makame Mshenga).

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger