Kisonono chapata sugu dhidi ya dawa zake
Shirika la Afya
Duniani (WHO), limetoa tahadhari kuwa ugonjwa wa zinaa wa kisonono
umeanza kuwa sugu dhidi ya dawa ya kupambana na ugonjwa huo.
Mtaalamu akitoa maelezo ya kisayansi kuhusiana na magonjwa
Hata hivyo, shirika hilo linasema wengi wanaoambukizwa ugonjwa huo wako katika nchi masikini, ambazo zinavifaa duni kudhibiti ugonjwa huo.
Shirika hilo la Afya duniani linasema kufanya mapenzi bila ya kuingiliana na watu wachache wanaotumia kondomu kunasaidia kuenea kwa ugonjwa huo wa Kisonono.
CHANZO: BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment